WAZIRI "MWANA FA:- AWAFUNGA MDOMO TFF...NDONDO CUP 2023 ITAFANYIKA
Habari za michezo

MWANA FA AWEKA WAZI WALICHOCHANGIA SIMBA

Staff Desk October 18, 2023 3:52 pm

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma maarufu kama Mwana FA amesema kuwa iwapo kuna timu inataka kutoa chochote kwa ajili ya kusaidia maboresho ya uwanja wa Mkapa, basi inakaribishwa.

Mwana FA amesema hayo leo wakati akizungumza kwenye kipindi cha Kipenga Extra, East Africa Radio.

“Katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa Simba wamechangia kwa kuweka TV mpya pamoja na Fridge mpya.

“Hivyo kwa wanaoona kwamba Simba Sports Club hawatakiwi kuvimba (Wanafaidi) basi na wao watafute kitu cha kuleta ili wote wawe sawa kwani milango ipo wazi,” amesema Mwana FA.

YANGA VS AZAM SIO POA KWA HALI HII LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA SIMBA NA YAHYA MBEGU MPAKA KIELEWEKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply