Habari za michezo
RAIS WA YANGA KUTOKA JANGWANI MPAKA KILELE CHA KILIMANJARO
Staff Desk
October 18, 2023
6:56 pm
Rais wa Yanga SC, Hersi Said ni miongoni mwa viongozi waliofanikiwa kufika katika kilele cha Mlima wa Kilimanjaro, Jijini Arusha.
Rais huyo aliyeko mapumzikoni hivi sasa ameonesha picha yake alivyokuwa amefika kileleni hapo, huku akiwa amejifunika nguo yenye nembo ya timu hiyo.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.