Habari za Simba
Habari za michezo

KUMBE SIMBA WALITAKA WENYEWE KUTOLEWA NA AL AHLY

Staff Desk October 26, 2023 12:30 pm

Mchambuzi wa Wasafi Fm, George Job amesema anaamini kuwa Klabu ya Al Ahly walikuwa wapo vibaya kiasi ambacho Simba Sc wamepoteza nafasi ya kuwatoa Waarabu hao ambayo haikuwa vizuri.

Job amesema hayo kwenye kupindi cha #SportsArena akiamini kuwa kama Al Ahly wangekuwa kwenye ubora wao basi Simba wasingeweza kuambua sare, lakini Ahly walikuwa vibaya ni Simba wenyewe wameshindwa kuwatoa Ahly ambayo wako vibaya.

Simba iliondolewa juzi katika michuano ya African Football League baada ya kutoa sare ya jumla ya mabao 3-3 lakini kanuni ndiyo iliamua kutokana na Mnyama kuwa na mabao machache ya ugenini.

BAADA YA KUMALIZANA KIBABE NA AZAM FC….GAMONDI AWATUPIA JICHO WAGUMU WA AL AHLY… GAMONDI AWEKA MPANGO YAKE MEZANI DHIDI YA SINGIDA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply