Home Habari za michezo KAMATA MIL 5 KIULAINII KWA KILA MKEKA UTAKOWEKA KUPITIA SLOT YA ENDORPHINA...

KAMATA MIL 5 KIULAINII KWA KILA MKEKA UTAKOWEKA KUPITIA SLOT YA ENDORPHINA YA MERIDIANBET..

Meridianbet

Kila siku Meridianbet wanahakikisha wanakuja na kitu kipya kwajili ya kuwanufaisha wateja wake na waweze kupiga mkwanja na awamu hii wamekuja na promosheni kabambe inayofahamika kama Endorphina. Hii itahusisha michezo ya kasino mitandaoni ambayo itatoa fursa kwa wateja kupiga mkwanja wa kutosha.

Promosheni hii itahusisha mashindano na washindi ndio wataweza kujipigia mkwanja wa kutosha kupitia michezo ya Kasino mitandaoni kupitia kampuni bingwa kabisa ya michezo ya kubashiri ya Meridianbet.

Promo ya Endorphina inaendeshwa kuanzia Oktoba 17, 2023 saa 00:00 hadi Oktoba 24, 2023 saa 23:59.

Promo hii inakubalika kwa wachezaji waliosajiliwa tu kwenye tovuti na programu yetu ya meridianbet.

Promo inafanyika kwa mfumo wa mashindano kwenye michezo iliyochaguliwa na Endorphina:

  • Chance Machine 5
  • Chance Machine 20
  • Book of Santa
  • 2021 Hit Slot
  • Lucky Streak 3
  • 7 Bonus Up
  • Joker Stoker
  • 2022 Hit Slot
  • Book of Oil
  • Wild love

Wakati wa mashindano, wachezaji wanapangwa kulingana na idadi ya mizunguko wanayochezesha na dau la chini la TZS 500.

Promo ya Endorphina inaweza kuchezwa kwa pesa halisi tu. Dau la chini kwa kila mzunguko ni TZS 500.

Sheria na masharti ya jumla yanatumika.Ukiwa na Meridianbet rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani  kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

 Zawadi ya mashindano ni jumla ya TZS 5,000,000, na inagawanywa kwa wachezaji 15, kama ifuatavyo:

 Mshindi wa 1 – TZS 1,300,000

Mshindi wa 1 – TZS 925,000

Mshindi wa 1 – TZS 660,000

Mshindi wa 4 na 5 – kila mshindi atapata TZS 400,000

Mshindi wa 6 mpaka wa 10 – kila mshindi atapata TZS 210,000

Mshindi wa 11 mpaka wa 15 – kila mshindi atapata TZS 100,000

Wachezaji wanaweza kuona nafasi yao ya sasa kila siku kwenye kurasa za promosheni, ambazo zitakwisha kusasishwa saa 4 asubuhi kwa siku iliyopita.

 NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 200,000,000/= PIGA *149*10#

SOMA NA HII  CAF YAIRUDISHA SIMBA MOROCCO...KUVAANA NA WAKALI HAWA ROBO