Home Habari za michezo CAF YAIRUDISHA SIMBA MOROCCO…KUVAANA NA WAKALI HAWA ROBO

CAF YAIRUDISHA SIMBA MOROCCO…KUVAANA NA WAKALI HAWA ROBO

KIUNGO HUYU WA CONGO ATUA MSIMBAZI....USAJILI WA KIBABE...ROBERTINHO AUPIGA MWINGI

Klabu ya Simba imerudishwa tena nchini Morocco ambapo katika hatua ya robo fainali ya Kombe la Mabingwa Afrika imepangwa kucheza na mabingwa watetezi wa kombe hilo, Wydad Casablanca.

Simba ambaye ametoka kucheza kundi moja na Raja Casablanca ya huko huko Morocco, sasa ataanzia nyumbani katika Dimba la Mkapa na kumalizia nchini Morocco.

Simba SC vs Wydad Casablanca Al Ahly vs Raja Casablanca
CR Belouizdad vs Mamelodi Sundowns JS Kabyle vs ES Tunis
Droo ya nusu fainali:

Mshindi kati ya Kabyle na ES Tunis atakutana na mshindi kati ya Al Ahly na Raja Casablanca wakati mshindi kati ya Simba ma Wydad atakutana na mshindi kati ya Belouizdad na Mamelodi Sundowns.

Michezo ya robo fainali itapigwa tarehe 21 na 22 Aprili 2023 na marudiano ni tarehe 28 na 29 Aprili, 2023.

SOMA NA HII  KWA UNDANI HAWA HAPA WAPINZANI WA SIMBA CAFCC.