Home Habari za michezo KOCHA NABI, MORISSON WATUPWA NJE YA DIMBA FAR RABAT HAWANA CHAO

KOCHA NABI, MORISSON WATUPWA NJE YA DIMBA FAR RABAT HAWANA CHAO

Habari za Yanga SC

Miamba ya Morocco, FAR Rabat inayonolewa na aliyekuwa Kocha wa Yanga SC, Nasreddine Nabi imeaga mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha jumla cha 3-1 dhidi ya Etoile Sahel ya Tunisia.

FT: FAR Rabat 1-2 Etoile Sahel (Agg. 1-3)

Red card: Marour18

⚽️Zouhzouh 90+4′

⚽️Naouali 20

⚽️Aouani 64′

Winga wa zamani wa Yanga SC na Simba SC Bernard Morrison alianza kwenye mchezo huo.

Nabi ameaga mashindano ya CAFCL kikatili baada ya mchezaji wake Zouhair Marour kula umeme dakika ya 18 tu.

SOMA NA HII  MWAMNYETO ATOBOA SIRI HII YA YANGA