Home Habari za michezo SIRI YA MAOKOTO LEO IMELALA HAPA…WEKA MKEKA WAKO KWA KUZINGATIA ODDS HIZI…

SIRI YA MAOKOTO LEO IMELALA HAPA…WEKA MKEKA WAKO KWA KUZINGATIA ODDS HIZI…

Meridianbet

Michuano ya kufuzu EURO 2024 inaendelea ambapo mataifa mbalimbali yanakutana kuwania nafasi ya kufuzu michuano hiyo barani Ulaya msimu ujao. Na Meridianbet wanakwambia chochote unachotaka wao wanakupatia iwe ODDS KUBWA machaguo zaidi ya 1000 au Turbo Cash zote zipo.

Kimbunga cha maana kitakuwa ni akti ya San Marino ambaye atamleta nyumbani kwake Denmark ambaye yupo nafasi ya pili akiwa na pointi 16 sawa na kinara wa kundi hilo tofauti yao ikiwa ni magoli ya kufunga na kufungwa. Mwenyeji hajashinda mchezo wowote mpaka sasa. Bashiri mechi hii na Meridianbet sasa.

Finland atakuwa dimbani leo kucheza Kazakhstan huku wote wakiwa wamecheza michezo 7 na wana pointi sawa 12, huku kinachowatofautisha ni magoli ya kufunga na kufungwa. Mara ya mwisho kukutana Finland waliibuka na ushindi. Je leo hii ni zamu ya mgeni kuondoka na pointi 3? Beti mechi hii sasa.

Mechi za pesa leo pale Meridianbet ni hizi hapa ambapo ya kwanza itakuwa ni kati ya Uingereza dhidi ya Italia ambao timu hizo zote zipo nafasi za juu na zina uwezekano wa kufuzu kutokana na pointi walizonazo. Muingereza amepewa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii akiwa na ODDS ya 1.77 kwa 5.09. Wewe beti yako unampa nani hapa?

Huku ukiendelea kucheza mechi hizi kumbuka sasa Meridianbet wamesikia ombi lako na wamekuletea Jackpot baab kubwa ambayo sasa ni Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau la shilingi 1000 pekee. Ingia na ubashiri mechi zako 13 uweze kupiga mkwanja huo. Na kwa wale wa USSD au kitochi menyu ni *149*10# bashiri na Meridianbet wakati wowote mahali popote.

Mechi nyingine itakuwa ni kati ya Malta dhidi ya Ukraine katika dimba la Ta’ Qali huku Malta akiwa ni kibonde wa kundi akiwa hajashinda mechi yoyote mpaka sasa na mgeni akiwa na pointi zake 10. UK kushinda mechi hii amepewa ODDS ya 1.19 kwa 12.74. Suka jamvi lako hapa.

Unyama mwingine utakuwa katika kiwanja cha Rajko Mitic Majira ya saa 3.45 ambapo Serbia atamkaribisha nyumbani kwake Montenegro huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 2 tuu. Mara ya mwisho kukutana Mserbia alishinda mechi hiyo. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi ugenini? Mechi hii ina machaguo mengi Meridianbet. Ingia na ucheze sasa.

Vijana wa Marco Rossi, Hungary ambaye ndiye kinara wa kundi G akiwa na pointi 13, atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Lithuania ambaye amepewa ODDS ya 8.03 sare ikipewa 4.11 na ushindi wa mgeni ukiwa na 1.32. Mwenyeji yupo nafasi ya 4 akiwa na pointi zake 5. Suka jamvi lako na ubashiri mechi hii.

ODDS ya 2.35 amepewa Slovenia leo hii akiwa ugenini dhidi ya Northern Ireland ambaye kapewa 3.14. Ikumbukwe kuwa Slovenia anaongoza kundi hilo akiwa na pointi zake 16 na mwenyeji akiwa na pointi 6 pekee. Je mwenyeji anaweza akaharibu ushindi wa leo wa mgeni? Machaguo mengi yanapatikana hapa.

SOMA NA HII  SIKU 100 TOKA AAJIRIWE SIMBA...HIVI NDIVYO AHMED ALLY ALIVYOJITOFAUTISHA NA MANARA...