Habari za michezo

MWANUKE BYE BYE SIMBA

Staff Desk November 12, 2023 1:10 pm

Taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo upo kwenye mpango wa kumtoa kwa mkopo Kiungo Mshambuliaji, Jimmyson Mwanuke katika dirisha lijalo la usajili ili kulinda kipaji chake.

Kutokana na hilo Klabu ya Simba inataka kumpeleka kwa mkopo kiungo mshambuliaji, Jimmyson Mwanuke katika Klabu ya Dodoma Jiji FC ya Dodoma.

Jimmyson katika dirisha lililopita la usajili alikataa kutolewa kwa mkopo na Simba ambapo alikubali kuvunjiwa mkataba na mpaka sasa klabu imempa taarifa inataka kumtoa kwa mkopo.

HIVI HILI LA CHE MALONE LIMEKAAJE KITAALAMU WAPINZANI WA YANGA LIGI YA MABINGWA KAZIKAZI HAINA KUPOA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply