Habari za Michezo
Azam FC

WANAJESHI 6 AZAM FC WAITWA TIMU ZA TAIFA

Staff Desk November 14, 2023 7:47 pm

Wanajeshi sita ndani ya kikosi cha Azam FC wameitwa kwenye timu zao za taifa.

Kwa sasa Ligi Kuu Bara ipo kwenye mapumziko kupisha mashindano ya kimataifa ambapo timu zitakuwa kwenye mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2026.

Mastaa hao walioitwa kwenye timu za taifa ni wanne wapo kambini timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars;

Lusajo Mwaikenda

Feisal Salum

Abdul Suleiman, (Sopu)

Edward Manyama

Sospeter Bajana

Prince Dube – Zimbabwe

SHINDA BAJAJ MPYA KWA JAMVI LA JERO TU MERIDIAN BET WACHEZAJI HAWA SIMBA WAPEWA MWEZI MMOJA……..TRY AGAIN ATOA TAMKO LA KISHUJAA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply