Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeifungia kusajili Klabu ya Simba mpaka itakapolipa madai ya Klabu ya Teungueth ya Senegal juu ya mauzo ya Mchezaji Pape Ousmane Sakho ambaye kwasasa anakipiga katika Timu ya Quevilly Rouen Metropole ya Ufaransa.
-
Klabu ys Simba imefafanua kuhusu maamuzi hayo ya FIFA;