Home Habari za michezo KIVUMBI LEO, MAYELE KINUMANA NA TP MAZEMBE LEO

KIVUMBI LEO, MAYELE KINUMANA NA TP MAZEMBE LEO

Fiston Mayele atakabiliana na Wakongomani wenzake wakati klabu yake ya Pyramids ikivaana na TP Mazembe katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2023/24.

TP Mazembe ipo kundi A sambamba na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, Pyramids ya Misri na Nouadhibou ya Mauritania.

Mchezo huo utapigwa leo Novemba 23, Saa 10:00 jioni nchini Misri.

SOMA NA HII  MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO