Home Habari za michezo KUMBE ULIMWENGU ALIZICHOMOLEA SIMBA, YANGA ISHU IKO HIVI

KUMBE ULIMWENGU ALIZICHOMOLEA SIMBA, YANGA ISHU IKO HIVI

Habari za Yanga

Mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Thomas Ulimwengu, kupitia kwenye interview na television ya Mtandaoni ya Singida Fountain Gate, amewefunguka kuhusu sababu ya kujiunga na timu hiyo badala ya kwenda timu kubwa hapa nchini.

Ulimwengu (30) amejiunga na Singida FG mwanzo mwa mzimu huu akitokea TP Mazembe ya Congo DR ambayo ameitumikia kwa mafanikio makubwa.

“Nilizikataa ili nijiunge na Singida FG kwa sababu nilipokuwa nje nilikuwa naifuatilia na kuiona timu inayokua na kusogea juu na ndoto yangu ilikuwa kucheza klabu hiyo, ndiyo mana leo nimekuwa hapa,” amesema Ulimwengu.

SOMA NA HII  HILI HAPA DONGO LA SHAFFIH DAUKA KWA MASHABIKI WA SIMBA NA TIMU YAO....