Home Habari za michezo KWENYE HILI SIMBA WAKIAMUA YANGA HAWACHOMOKI

KWENYE HILI SIMBA WAKIAMUA YANGA HAWACHOMOKI

Wakti kukiwa na sintofahamu juu ya Nembo ya Simba kutumika katika bango lililowekwa na Yanga kusherehesha ushindi wao wa bao 5-1 walioupata dhidi ya Simba Novemba 5 katika Uwanja wa Mkapa.

Kuna wanaoitaka Klabu ya Simba kwenda Mahakamani kwa vile nembo ya Klabu imetumika Kibiashara na mtu mwingine pasipo idhini yao.

Alex Ngereza anasema;

“Yanga hawachomoki hapa kama Simba wakiamua kwa kawaida huwezi kutumia logo ya timu nyingine yenye wadhamini wake kutangaza wadhamini wako”

Msikilize ngereza akifafanua kwenye Video hapa chini;

 

View this post on Instagram

 

A post shared by ALEX NGEREZA (@alexngereza._)

SOMA NA HII  ACHANA NA YANGA, SIMBA SASA WAPENYA KIMATAIFA KAMA MASKHARA