Home Azam FC WANAJESHI 6 AZAM FC WAITWA TIMU ZA TAIFA

WANAJESHI 6 AZAM FC WAITWA TIMU ZA TAIFA

Habari za Michezo

Wanajeshi sita ndani ya kikosi cha Azam FC wameitwa kwenye timu zao za taifa.

Kwa sasa Ligi Kuu Bara ipo kwenye mapumziko kupisha mashindano ya kimataifa ambapo timu zitakuwa kwenye mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2026.

Mastaa hao walioitwa kwenye timu za taifa ni wanne wapo kambini timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars;

Lusajo Mwaikenda

Feisal Salum

Abdul Suleiman, (Sopu)

Edward Manyama

Sospeter Bajana

Prince Dube – Zimbabwe

SOMA NA HII  KIEMBA AFAFNUKIA KISA CHA AL AHLY KUJA NA MAPIPA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here