Home Habari za michezo YANGA AMTAFUTIA MSAIDIZI KIUNGO MKABAJI

YANGA AMTAFUTIA MSAIDIZI KIUNGO MKABAJI

Habari za Yanga

Swali ni moja tu, Kwa mfano pale Yanga Khalid Aucho anaumia,Yanga wanaenda kucheza na CR BELOUZDAD ugenini, fikiria eneo la kiungo mkabaji atacheza nani na nani?

Jibu utaliona hapo, Yanga wanap viubgo wengi kama Mkude,Mudathir,Sure Boy na Zawadi Mauya lakini sioni mwenye uwezo wa kuituliza timu kama Aucho,kukaba kama Aucho..

Hivyo kuelekea dirisha dogo la usajili Yanga wanatakiwa kuongeza mtu kwenye eneo hilo pamoja na maeneo mengine kama Mshambuliaji wa kati wa maana.

SOMA NA HII  HAKUNA SIMBA BILA CHAMA SHABIKI AFUNGUKA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here