Habari za Yanga SC
Habari za michezo

GAMONDI AFANYA MAAMUZI MAGUMU MASTAA HAWA YANGA KUPINGWA PANGA…..UNAAMBIWA SKUDU NAE HANA BAHATI

Staff Desk December 6, 2023 9:55 am

Taarifa kutoka ndani ya Klabu Yanga zinadai kuwa Kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi amependekeza wachezaji wafuatao wakimataifa wapigwe panga kwa sababu hawajaingia kwenye mfumo wake.

◉ Hafiz Konkoni

◉ Skudu Makudubela

◉ Jesus Moloko

◉ Gift Fred

Kupitia nafasi hizo nne zitakazoachwa wazi anataka usajili wa position hizi:

◉ Centre-forward

◉ Left winger

◉ Right Winger

◉ Cenre-midfielder

Wachezaji (3) wa kimataifa watasajiliwa katika dirisha dogo, mchezaji wa nne atasajiliwa dirisha kubwa. Inatajwa Moloko mwenye miezi (6) kwenye mkataba wake ataachwa dirislha kubwa.

DAKIKA 90… KUAMUA USAJILI SIMBA YANGA UONGOZI WA YANGA WAWAFARIJI WAATHIRIKA WA MAFURIKO HANANG……RAIS WA YANGA AFANYA HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply