Habari za michezo

HUKO OLD TRAFFORD NI FEDHEA MAN U WATANDIKWA VIKALI

Staff Desk December 10, 2023 9:07 am

Timu ya Manchester United imechapwa mabao 3-0 na AFC Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Jumamosi Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester.

Mabao ya AFC Bournemouth yamefungwa na Dominic Solanke dakika ya tano, Philip Billing dakika ya 68 na Marcos Senesi dakika ya 73.

Kwa ushindi huo, AFC Bournemouth inafikisha pointi 19 na kusogea nafasi ya 13, wakati Manchester United inabaki na pointi zake 27 nafasi ya sita baada ya wote kucheza mechi 16.

WAGOSI WATAMBA MBELE YA KAGERA SUGAR LIGI KUU TUKUTANE KWAMKAPA NDIO KAULI ILIYOBAKIA SIMBA…. HUKU BENCHIKHA AKIBAKIA NA DADIKA 360 PEKEE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply