Habari za michezo

WAGOSI WATAMBA MBELE YA KAGERA SUGAR LIGI KUU

Staff Desk December 10, 2023 8:54 am

Bao pekee la kiungo Charles Semfuko dakika ya tano limewapa wenyeji, Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jana Jumamosi Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Bao pekee la kiungo Charles Semfuko dakika ya tano limewapa wenyeji, Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jana Jumamosi Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga. Ushindi huo unaifanya Coastal Unión ifikishe pointi 16 katika mchezo wa 13 na kusogea nafasi ya saba, wakati Kagera Sugar wanabaki na pointi zao 13 za mechi 11 nafasi ya 12.

NGAO YA JAMII BAADA YA YANGA KUKIBALI KIPIGO SASA NI SIMBA NA JKT HUKO OLD TRAFFORD NI FEDHEA MAN U WATANDIKWA VIKALI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply