Habari za michezo
NGAO YA JAMII BAADA YA YANGA KUKIBALI KIPIGO SASA NI SIMBA NA JKT
Staff Desk
December 10, 2023
8:49 am
Timu za JKT Queens na Simba Queens zitakutana katika Fainali ya Ngao ya Jamii kuelekea msimu mpya wa Ligi ya Wanawake Tanzania Bara baada ya kuzitoa Fountain Gate Princess na Yanga Princess leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
Timu za JKT Queens na Simba Queens zitakutana katika Fainali ya Ngao ya Jamii kuelekea msimu mpya wa Ligi ya Wanawake Tanzania Bara baada ya kuzitoa Fountain Gate Princess na Yanga Princess leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Mabingwa wa Ligi Kuu na Afrika Mashariki na KatÃ, JKT Queens wameichapa Fountain Gate Princess mabao 5-0, wakati Simba Queens wameitoa Yanga Princess kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 0-0.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.