Habari za michezo
KAMA ULIVYOSIKIA SIMBA WAKUBALI KIPIGO DADIKA ZA LALASALAMA
Staff Desk
December 10, 2023
8:44 am
Wekundu wa Msimbazi, Timu ya Simba SC imekubali kichapo cha 1-0 ugenini dhidi ya wenyeji Wydad Casablanca na kuporomoshwa mpaka mkiani mwa msimamo wa kundi B.
Mchezo huo wa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika umepiga katika Dimba la Marrakesh nchini Morocco.
Bao pekee la Wydad katika mchezo huo limefungwa na Zakaria Draoui dakika ya 90+5′, na kuwapa ushindi wa kwanza Wydad.
MSIMAMO KUNDI B
Asec (pointi 7)
Jwaneng (4)
Wydad (3)
Simba SC (2)
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.