Habari za Yanga SC
Habari za michezo

GAMONDI AFUNGUKA KUHUSU MASTAA HAWA KUKOSA WAPINZANI KIKOSINI

Staff Desk December 15, 2023 2:22 pm

Wakati Yanga wakijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar, Kocha wa Yanga ametoa kauli ya kuwajibu wale wote wanaojaribu kumshauri kikosi cha kupanga kuelekea mchjezo huo.

Akizungumza katika mkutano na waandishi wa Habari Gamondi anasema;

“Tumejiandaa vizuri kwa ajili ya mchezo wetu wa kesho dhidi ya Mtibwa Sugar, tunawajua vizuri Mtibwa Sugar, ila kwa nyie Mnaotaka nicheze na mawinga niambieni namtoa nani ili wao wacheze, nimtoe Aziz Ki? Nimtoe Pacome? Nimtoe Clement? Binafsi naamini tunacheza mpira mzuri tukiwa na Viungo kuliko Mawinga” – amesema

Yanga wataikaribisha Mtibwa Sugar Disemba 16 katika Uwanja wa Chamazi.

SIMBA WAITISHA MKUTANO MKUU KISA HIKI HAPA UNAAMBIWA SIMBA WALICHEZA PIRA GIMBI DHIDI YA WYDAD MCHAMBUZI AFUNGUKA HAYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply