VITA HII MPYA YAIBUKA YANGA...BACCA AMPASUA KICHWA JOB...ISHU NZIMA IKO HIVI
Habari za michezo

SASA AZIZ KI NA ISHU YA KIATU CHA UFUNGAJI BORA LIGI KUU

Staff Desk December 18, 2023 6:47 am

Tangu alipoondoka Feisal Salum kwenye kikosi cha Young Africans kiungo mshambuliaji raia wa Burkina Faso, Aziz Ki amekuwa na kiwango bora sana akiwa kwenye jezi za wananchi Yanga.

Msimu huu katika michezo kumi (10) aliyocheza amefunga jumla ya magoli tisa (9) na ndio kinara wa upachikaji wa magoli hadi hivi sasa kwenye Ligi kuu kandanda Tanzania Bara.

Akiendelea na moto huo anaweza kuwa mfungaji bora ila asipate majeraha.

KUISHUHUDIA YANGA vs MADEAMA KIINGILIO NI MIGUU YAKO GSM AFANYA KWELI KISA AZIZI KI ALLY KAMWE AWAJIA JUU WACHAMBUZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply