Home Habari za michezo KAMA UTANI ILA NDIO IVO ZIDANE WA BONGO KATEMWA HUKO

KAMA UTANI ILA NDIO IVO ZIDANE WA BONGO KATEMWA HUKO

Habari za Yanga leo

Kiungo fundi wa Yanga, Pacome Zouzoua “zidane wa Bongo” ameachwa kwenye kikosi cha Mwisho cha Ivory Coast kitakacho shiriki michuano ya Africa Cup of nations.

Kiungo fundi wa Yanga, Pacome Zouzoua “zidane wa Bongo” ameachwa kwenye kikosi cha Mwisho cha Ivory Coast kitakacho shiriki michuano ya Africa Cup of nations. Ikumbukwe nyota huyo alitajwa kwenye kikosi cha awali cha Tembo hao kilicho jaa mastar kibao wa Ulaya lakini Mwisho wa siku hakufanikiwa kupita kwenye mchujo.

SOMA NA HII  YANGA YANUNUA MABAO 50 BONGO,BWALYA NI MTU NA NUSU, NDANI YA SPOTI XTRA JUMAPILI