Home Habari za michezo HAWA NDIO MERIDIANBET SASA….WANAKUPA MAOKOTO YA KUTOSHA NA JAMII INABURUDIKA..

HAWA NDIO MERIDIANBET SASA….WANAKUPA MAOKOTO YA KUTOSHA NA JAMII INABURUDIKA..

Meridianbet

Mabingwa wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania kampuni ya Meridianbet leo wamefanikiwa kuigusa jamii tena, Ambapo wametoa msaada kwa madereva Bajaji jijini Dar-es-salaam.

Ni utamaduni wa kampuni hiyo kongwe kuhakikisha wanatoa msaada kwa jamii yake inayowazunguka na leo hii madereva Bajaji ndio waliobahatika kufikiwa ambapo wamepewa maturubai ambayo watayafunga kwenye Bajaji zao..

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Lengo kubwa la Meridianbet kutoa msaada wa maturubai kwa madereva Bajaji ni kuhakikisha wanafanya kazi yao vizuri, Kwani maturubai hayo yatawasaidia kuwakinga na mvua pamoja na jua katika shughuli zao za kila siku.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram ambaye ndio aliongoza zoezi hilo alisema Tunayo furaha kubwa kufika hapa na kutoa msaada wa maturubai kwenu kwani tunaaamini vifaa hivi vitakwenda kuwasaidia katika kutimiza majukumu yenu ya kila siku

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mbali na mkuu wa kitengo na mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet kuzungumza na madereva Bajaji juu ya msaada walioutoa, Lakini moja ya madereva aliweza kueleza furaha yake juu ya msaada walioupata kwa kusema “Tunashukuru sana uongozi wa Meridianbet kwa kufika hapa na kutupatia vifaa hivi kwani maturubai haya yatatusaidia kutukinga na mvua na jua katika shughuli zetu za kila siku”

SOMA NA HII  GAMONDI AIPIGA CHABO SIMBA KWA MKAPA....