Home Habari za michezo KAMA ULIVYOSIKIA SIMBA WAKUBALI KIPIGO DADIKA ZA LALASALAMA

KAMA ULIVYOSIKIA SIMBA WAKUBALI KIPIGO DADIKA ZA LALASALAMA

Wekundu wa Msimbazi, Timu ya Simba SC imekubali kichapo cha 1-0 ugenini dhidi ya wenyeji Wydad Casablanca na kuporomoshwa mpaka mkiani mwa msimamo wa kundi B.

Mchezo huo wa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika umepiga katika Dimba la Marrakesh nchini Morocco.

Bao pekee la Wydad katika mchezo huo limefungwa na Zakaria Draoui dakika ya 90+5′, na kuwapa ushindi wa kwanza Wydad.

MSIMAMO KUNDI B

Asec (pointi 7)

Jwaneng (4)

Wydad (3)

Simba SC (2)

SOMA NA HII  HII HAPA SABABU YA MASTAA SIMBA KUPELEKWA MUHIMBILI