Home Habari za michezo KAMATA PESA YA KUFUNGIA MWAKA NA SLOT YA UHAKIKA KUTOKA MERIDIANBET CASINO…..

KAMATA PESA YA KUFUNGIA MWAKA NA SLOT YA UHAKIKA KUTOKA MERIDIANBET CASINO…..

Meridianbet

Je wewe ni bingwa wa kucheza karata na umeshindikana mtaani kwako, unahisi hakuna anayekuwezea? Huu hapa mchongo mpya wa kutengeneza pesa nyingi huku unaburudika na kucheza karata zako kwenye mchezo wa kasino ya mtandaoni unaoitwa Casino Stud Poker.

Casino Stud Poker ni mchezo mubashara wa poker uliotengenezwa na waandaji wabobefu wa michezo mbalimbali ya kasino ya mtandaoni ‘Playtech‘. Katika mchezo huu, kombinisheni za ushindi zinatengenezwa pekee kutoka kwenye karata tano za kwanza ambazo zitakuwa mikononi mwako.

Casino Stud Poker ni mchezo unaohusisha mchezaji na muuzaji. Lengo la mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ni kuwa na mkono wako imara kuliko wa muuzaji, ikitokea umefanikisha hilo basi ushindi ni wako na utalipwa kulingana na dau lako uliloweka.

Unaweza kuweka beti zako kwenye aina mbalimbali za beti, beti kuu kati yao ikiwa ni Ante. Ante ni beti inayohitajika na lazima ipigwe mwanzoni mwa kila mkono.

Unaendelea mchezo kwa kubonyeza kitufe cha Call. Unaweka beti zako muda mrefu kama kuna wakati unaendelea. Baada ya kuonyesha chaguo la No More Bets, hakuna tena wakati wa kuweka beti.

 Unaweza kuongeza maradufu beti yako na kitufe cha X2, na unaweza kurudia mchezo na kitufe cha Rebet.

Baada ya kuweka beti zako kwenye beti ya msingi, unaweza pia kucheza kwenye beti mojawapo kati ya beti mbili za nje: 5+1 na Jakipoti.

Mchezeshaji atakupa karata tano na yeye mwenyewe. Karata zako zinaonekana wazi, wakati karata ya mchezeshaji ni wazi na karata zilizobaki zimeinama chini.

Hakuna karata za ziada kwenye ubao kama ilivyo katika matoleo mingine ya poker. Ili kushinda unapaswa karata zako mkononi zizidi za mchezeshaji wa mchezo wa kasino ya mtandaoni.

Ujaribu mchezo huu pendwa kabisa duniani kote Casino Stud Poker ili kujikusanyia maokoto ya kutosha huku ukiburudika na sauti nzuri za muziki.

NB: Jisajiri na Meridianbet upate bonasi kibao na kufurahia ushindi kila dakika unapobashiri michezo mbalimbali ikiwa na odds kubwa. Jisajiri hapa.

SOMA NA HII  BEKI AFUNGUKA NAMNA CHAMA ANAVYOTISHA..AELEZA MATESO ALIYOYAPATA..NABI NA YANGA YAKE LEO BILA AUCHO NA DJUMA...