Home Habari za michezo MSHIKO WA UHAKIKA UKO NDANI YA ODDS HIZI KATIKA MCHEZO WA LEO...

MSHIKO WA UHAKIKA UKO NDANI YA ODDS HIZI KATIKA MCHEZO WA LEO MAN UTD vs CHELSEA…

Meridianbet

Wikiendi yako inawezakana haikwenda vizuri ni hivi usiwe na wasiwasi Meridianbet wanakupa nafasi ya kupiga mkwanja katikati ya wiki ambapo leo kutakua na mchezo wa kukata na shoka kati ya Manchester United dhidi ya Chelsea katika dimba la Old Trafford.

Manchester United dhidi ya Chelsea ni mchezo ambao umebeba michezo yote inayopigwa leo kutokana na hadhi ya mchezo huo, Lakini pia mchezo huu umepewa hadhi pale Meridianbet kutokana ODDS KUBWA na za kibabe ambazo mchezo huu umepewa.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Hakujawahi kutokea siku mchezo kati ya Manchester United dhidi ya Chelsea ukawa mwepesi na usio wa ushindani bila kujali fomu ya vilabu hivyo kwa wakati huo, Hivo ni wazi mchezo huo leo utakwenda kua wenye ushindani mkubwa sana usiku wa leo.

Chelsea watakwenda Old Trafford leo wakiwa na rekodi isiyoridhidha katika dimba hilo kwani wameshinda mchezo wa mwisho katika uwanja huo wa ligi kuu ya Uingereza mwaka 2013, Hivo ni takribani miaka kumi sasa usiku wa leo unaweza kua sehemu ya kufuta uteja huo wa muda mrefu.

Michezo mingine ya ligi kuu ya Uingereza pia itapigwa leo katika viwanja mbalimbali na imepewa ODDS KUBWA na za kibabe ambayo inaweza kumpa mteja wa Meridianbet kujipigia mkwanja wa kutosha na michezo hiyo ni kama ifuatayo Brighton wataikaribisha Brentford katika dimba lao la Amex, Sheffield United watakua nyumbani kuikaribisha Liverpool, Aston Villa watakua nyumbani pale Villa Park kumenyana na klabu ya Manchester City.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

SOMA NA HII  JOHN BOCCO NDIO BASI TENA BENCHIKHA AMKATAA HADHARANI