Home Habari za michezo SASA AZIZ KI NA ISHU YA KIATU CHA UFUNGAJI BORA LIGI KUU

SASA AZIZ KI NA ISHU YA KIATU CHA UFUNGAJI BORA LIGI KUU

VITA HII MPYA YAIBUKA YANGA...BACCA AMPASUA KICHWA JOB...ISHU NZIMA IKO HIVI

Tangu alipoondoka Feisal Salum kwenye kikosi cha Young Africans kiungo mshambuliaji raia wa Burkina Faso, Aziz Ki amekuwa na kiwango bora sana akiwa kwenye jezi za wananchi Yanga.

Msimu huu katika michezo kumi (10) aliyocheza amefunga jumla ya magoli tisa (9) na ndio kinara wa upachikaji wa magoli hadi hivi sasa kwenye Ligi kuu kandanda Tanzania Bara.

Akiendelea na moto huo anaweza kuwa mfungaji bora ila asipate majeraha.

SOMA NA HII  AZAM FC WANA JAMBO LAO KWENYE USAJILI MSIMU UJAO