Home Habari za michezo WAGOSI WATAMBA MBELE YA KAGERA SUGAR LIGI KUU

WAGOSI WATAMBA MBELE YA KAGERA SUGAR LIGI KUU

Bao pekee la kiungo Charles Semfuko dakika ya tano limewapa wenyeji, Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jana Jumamosi Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Bao pekee la kiungo Charles Semfuko dakika ya tano limewapa wenyeji, Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jana Jumamosi Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga. Ushindi huo unaifanya Coastal Unión ifikishe pointi 16 katika mchezo wa 13 na kusogea nafasi ya saba, wakati Kagera Sugar wanabaki na pointi zao 13 za mechi 11 nafasi ya 12.

SOMA NA HII  VIGONGO VYA YANGA KWA MWEZI HUU VIMEKAA NAMNA HII...WAKITELEZA KIDOGO TU IMEKULA KWAO...