Home Burudani YANGA KUMLETA CHID BENZ VS MADEAMA

YANGA KUMLETA CHID BENZ VS MADEAMA

Kuelekea mchezo wa Young Africans dhidi ya Medeama siku ya Jumatano, klabu hiyo ina mpango wa kumleta msanii wa Hiphop Chid Benz kwaajili ya kutoa burudani kwa mashabiki watakao jitokeza kwenye mchezo huo.

โ€œYanga imesheheni burudani, ndani na nje ya uwanja. Kwa mfano tumekuwa tukipata burudani kutoka kwa DJ Ally B. Wasanii wote wakubwa Tanzania ni Yanga. Niwahakikishie nitapambana kwenye mechi ya Medeama tumpate Chidy Benzi. Tunataka Dar es Salaam isimameโ€ Ally Kamwe.

Goma gani la Chid Benz utatamani alipige siku hiyo

SOMA NA HII  KAZI IMEANZA CAFCL WAPINZANI WA YANGA WAMTIMUA KOCHA WAO