Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.

Mbali na hayo yote simu hii inakuja na sifa bora pengine kuliko simu nyingi ambazo ni za bei hii, simu hii inakuja na Magic Ring kama iPhone, Kamera ya 108 Megapixel, Kioo cha 120Hz, Helio G99 pamoja na sifa nyingine bora.
Simu hii storage/chumba cha kutunza kumbukumbu ukuwa wa GB256 na Ram ya GB8 ambayo mtumiaji amepewa nafasi yakuongeza hadi kufikia GB16, simu yenye uwezo wa kufungua applications nyingi mno kwa wakati mmoja unaweza habari mbalimbali za michezo kwenye magazeti kwenye mfumo wa youtube, Instagram, mobile applications kwa wakati mmoja pasipo kutetereka.

