Habari za Simba leo
Habari za michezo

SIMBA WAZIDI KULAMBA MADILI YA UTALII….SAFARI HII NI ZAMU YA ZNZ….

admin January 5, 2024 4:47 pm

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Simai Mohammed Said ameiteua  ya Simba kuwa Balozi wa Utalii wa Zanzibar.

Waziri Simai amechukua uamuzi huo kwa kutambua mchango mkubwa klabu hiyo katika kutangaza utalii wa Zanzibar na Tanzania kwa jumla.

Klabu ya Simba ilianzisha mkakati wa kuitangaza Zanzibar kupitia kauli mbiu ya Visit Zanzibar katika jezi na mitandao yake ya kijamii wakati huu wa michuano ya Kombe la Mapinduzi.

Akizungumza kwa niaba ya klabu ya Simba Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula amsema,“ tunaishukuru Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kutambua mchango wa timu yetu kutangaza utalii hivyo kukuza uchumi, tunaona fahari kuwa sehemu ya maendeleo ya nchi.”

SHOW ZA MNYAMA ZNZ LEO KAMA KAWA…MUDA NI ULE ULE WA MAANGAMIZI…. ANAYEDAIWA KUTAKIWA SIMBA AKOSEKANIKA KWENYE TIMU YAKE….ISHU NZIMA IKO HIVI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply