Home Habari za michezo SIMBA WAPIGA BAO LA KISIGINO….MASHINE YA KAZI YATUA….MSHAHARA WAKE NI KUFRU TUPU…
- Habari za michezo
- Habari za Simba
- Habari za Simba Leo
- Michezo
- Michezo Bongo
- Michezo Soka la Bongo
- news
- Simba SC
- Tetesi za usajili
- Tetesi za usajili Bongo
- Tetesi za usajili Simba

Taarifa kutoka ndani ya Simba zinadai kuwa Sarr , atakuwa kilipwa mshahara wa dola 6000 sawa na zaidi ya Milioni 15 za kitanzania, pia atapewa Nyumba ya kuishi ya kisasa, gari na mahitaji mengine ya kistaa.




