Home Habari za michezo HAKIKISHA MKEKA WAKO LEO UNASOMA ODDS HIZI ZA KIBABE KUTOKA MERIDIANBET…

HAKIKISHA MKEKA WAKO LEO UNASOMA ODDS HIZI ZA KIBABE KUTOKA MERIDIANBET…

Meridianbet

Siku ya leo inaenda kuwa murua sana endapo utabashiri mechi za EPL leo hii na meridianbet na tayari ODDS za kibabe zipo huko na machaguo ya kutosha pia yapo, hivyo kazi ni kwako suka jamvi lako na uanze kubashiri sasa.

Tukianza na Crystal Palace chini ya kocha mkuu Roy Hodgson watakuwa nyumbani pale Selhurst Park kumenyana dhidi ya Sheffield United huku timu zote zikiwa zilipoteza michezo yao iliyopita. Mgeni kapewa ODDS 5.88 kwa 1.62 kushinda mchezo huu. Ikumbukwe kuwa mgeni ni kibonde wa ligi hadi sasa. Je anaweza kufurukuta leo?. Beti sasa.

Huku ndani ya dimba la Villa Park nao Aston Villa watakipiga dhidi ya Newcastle United ya Eddie Howe huku meridianbet wakimpa bnafasi kubwa ya kushinda mchezo huu mwenyeji kwa ODDS 1.84 kwa 3.92. Mara ya mwisho kuonana Newcastle walishinda. Jisajili ubeti hapa.

Si mpira tuu pia meridianbet inatoa michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Ndani ya EPL leo nyasi zitaanza kuwaka katika dimba la City Ground majira ya saa 4:30 ambapo Arsenal atakuwa mgeni wa Nottingham Forest ambaye yupo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wamewapa nafasi ya ushindi vijana wa Mikel Arteta kwa ODDS 1.37 kwa 7.64. Mara ya mwisho kukutana The Gunners walishinda. Je mwenyeji kulipa kisasi leo?. Suka mkeka wako hapa.

Huku katika dimba la Craven Cottage Fulham atakuwa akisaka pointi tatu dhidi ya Everton  huku timu hizi zikitofautiana pointi 7 pekee. Mwenyeji anashika nafasi ya 13 na mgeni wake akiwa nafasi ya 17. Mechi hii imepewa ODDS 2.43 kwa 2.94. Nani kuondoka na ushindi leo?. Jisajili na ubeti hapa.

Brighton ya De Zerbi watakuwa na kibarua kigumu ugenini dhidi ya Luton Town ambaye naye pia alishinda mechi yake iliyopita. Luton kushinda mechi hii amepewa ODDS 4.11 kwa 1.75, huku mara ya mwisho kuonana Brighton alishinda. Tengeneza jamvi lako sasa.

Tottenham Hot Spurs baada ya kutoa sare mchezo wake uliopita atamkaribisha Brentford ya Thomas Frank. Mara ya mwisho kuonana walitoka sare. Mechi hii ina machaguo mengi pale meridianbet ingia na utandika jamvi lako hapa.

Liverpool atakuwa Anfield kukiwasha dhidi ya Chelsea ya Pochettino. The Blues kushinda mechi hii wamepewa ODDS 4.60 kwa 1.58. Mechi 7 za mwisho kukutana wametoka sare. Je safari hii nani ataibuka na ushindi?. Ni Klopp au Mauricio?. Beti kijanja na Meridianbet.

Pia hapo kesho LALIGA itaendelea kwa mechi mbili pekee ambapo baada ya Barcelona kupoteza kwa aibu mechi yake iliyopita, kesho atakichapa dhidi ya CA Osasuna ambaye alilazimishwa sare mechi yake iliyopita. Vijana wa Xavi wamepewa ODDS 1.30 kushinda mechi hii kwa 9.01. Wewe beti yako unampa nani?

Mechi nyingine hapo kesho ni hii ambayo itawakutanisha vijana wa Diego Simeone Atletico Madrid ambao wapo nafasi ya 3 kwenye msimamo dhidi ya Rayo Vallecano ambao wapo nafasi ya 13 hadi sasa. Tofauti ya pointi kati yao ni 20. 1.47 kwa 6.27 ndio ODDS za mechi hii. Nani kukupatia pesa meridianbet?

SOMA NA HII  KISA TFF....EDO KUMWEMBE AIVAA YANGA SAKATA LA FEI TOTO...AWATAKA WATAJE BEI YA KUMUUZA...