Home Habari za michezo KUSANYA MTONYO WA KUTOSHA LEO HII KUPITIA ODDS HIZI ZA KIBABE NDANI...

KUSANYA MTONYO WA KUTOSHA LEO HII KUPITIA ODDS HIZI ZA KIBABE NDANI YA MERIDIANBET..

Meridianbet

Eeh bwana wee mzigo leo upo wa kutosha kupitia michuano ya kombe la FA ambapo leo nchini Uingereza itapigwa michezo kadhaa ambayo itatoa fursa ya mteja wa Meridianbet kupiga mkwanja.

Meridianbet hawataki uufungue mwaka kinyonge na ndio sababu wameendelea kuweka Odds za kibabe katika michezo ambayo imekua ikipigwa, Yote kuhakikisha wewe mteja wao unauanza mwaka kwa namna ya pekee.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Klabu ya Chelsea leo watashuka dimbani kukipiga dhidi ya klabu ya Preston North End katika mchezo wa raundi ya tatu wa michuano ya kombe la FA, Huku matajiri hao kutoka jijini London wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani.

Mchezo mwingine mkali utakua kati ya klabu ya Stoke City ambao watakua nyumbani katika dimba lao la Britania kuwakaribisha vijana wa kocha Roberto De Zerbi klabu ya Brighton Hove and Albion mchezo unaotarajiwa kua mkali.

Pale katika dimba la St. Marrys klabu ya Southampton itakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Walsall, Southampton wanaonekana kupewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu lakini Walsall wanaweza kuwashangaza wengi.

Vinara wa ligi daraja la kwanza nchini Uingereza klabu ya Leicester City leo watakua ugenini kukipiga na Milwall katika mchezo wa raundi ya tatu wa kombe la FA, Mchezo huu unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa kutokana na fomu ya timu zote mbili.

Aston Vila watakua ugenini wakikipiga na wenyeji wao Middlesbrough katika mchezo wa wa raundi ya tatu wa michuano ya kombe la FA, Huku vijana wa Unai Emery licha ya ku ugenini wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushinda licha ya kua ugenini.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia na uweke mkeka wako.

SOMA NA HII  WAKATI SIMBA WAKIMTAMBULISHA CHAMA...MASAU BWIRE AIBUKA NA HILI KUHUSU RUVU SHOOTING YAKE...