Home Habari za michezo ODDS ZA UHAKIKA LEO ZIMELALA KWENYE MECHI HIZI….MKEKA WAKO USOME NA MERIDIANBET..

ODDS ZA UHAKIKA LEO ZIMELALA KWENYE MECHI HIZI….MKEKA WAKO USOME NA MERIDIANBET..

Meridianbet

Eeeh bwana weee mwaka umepinduka na ligi kuu nchini Hispania La liga imerejea na maokoto yake ya kutosha, Kwani leo kuna michezo mbalimbali itapigwa katika viwanja tofauti tofauti huku wewe ukiwa na nafasi ya kuchukua mkwanja wako.

Michezo itakayopigwa leo kunako ligi kuu ya Hispania imepewa ODDS KUBWA ambapo wewe mteja wa mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet ukiwa na nafasi ya kuanza mwaka kibabe.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Real Madrid leo wakiwa katika dimba lao la nyumbani Santiago Bernabeu wataikaribisha klabu ya Real Mallorca katika mchezo wa ligi kuu ya Hispania ambapo pia utashuhudia urejeo wa nyota wake Vinicius Jr aliyekosekana katika michezo kadhaa iliyopita kutokana na majeraha.

Mchezo mwingine utakua kati ya klabu ya Girona wanaokamata nafasi ya pili katika La Liga watakua nyumbani kumenyana na klabu ya klabu ya Atletico Madrid ambao wanashika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi hiyo.

Klabu ya Celta Vigo ambao wanachechemea kunako ligi kuu nchini Hispania watakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Real Betis ambayo ni moja ya timu zinazofanya vizuri, Mchezo unaotarajiwa kua mkali huku timu zote zikipewa ODDS KUBWA.

Klabu ya Granada leo watakua wenyeji wakiwakaribisha klabu ya Cadiz katika mchezo wa ligi kuu ya Hispania, Mchezo utakua ni vita ya timu zilizoko chini kwenye msimamo kwani Granada wako nafasi ya 19 ambapo Cadiz wakiwa nafasi ya 17hivo mchezo huu utakua wenye ushindani mkubwa.

Michezo mingine ambayo itapigwa leo ambayo itakua fursa ya kupiga mkwanja ni kati ya PSG dhidi ya Tolouse kwenye kombe la Ufaransa, As Roma watakua nyumbani kumenyana na Cremonese katika mchezo wa Coppa Italia, Atalanta nao watakua nyumbani kukipiga na Sassoulo.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia https://a.meridianbet.co.tz/c/QARU7i na uweke mkeka wako.

SOMA NA HII  BAADA YA KUONA UCHEZAJI WAO...KAPOMBE 'KATUPA DONGO' HILI KWA MASTAA WAPYA SIMBA....