Home Habari za michezo RUDISHA MPAKA 10% YA DAU LAKO KUPITIA CASINO ZA MERIDIANBET….HUKU SIO LAZIMA...

RUDISHA MPAKA 10% YA DAU LAKO KUPITIA CASINO ZA MERIDIANBET….HUKU SIO LAZIMA KUPOTEZA…

Meridianbet

Huu ni mwaka wa hela tu ukiwa na Meridianbet basi umechagua kushinda kila siku, Cheza Kasino ya Mtandaoni bila hofu yeyote ya kupoteza na endapo itatokea umepoteza tiketi yako unapatiwa rejesho la 10% ya pesa yako. Jisajili na Meridianbet ufurahie bonasi hii.

Meridianbet imekuwa ikitoa bonasi kibao kama mizunguko ya bure, Bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya, na promosheni kila kukicha, cheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni kisha subiri ushindi mkubwa huku ukiwa huna hofu ya kupoteza.

Masharti ya Promosheni Hii ya Kasino ya Mtandaoni.

 Mchezaji yeyote katika kipindi cha promosheni atacheza mchezo au michezo yoyote ya kasino ya mtandaoni kwenye APP au tovuti ya meridianbet.co.tz na kupoteza kiasi cha 250,000 TSH – atakidhi vigezo vya kupata bonasi ya kasino au pesa taslimu katika sheria zifuatazo:

Mchezaji ambaye atakayepoteza kati ya 0 – 249,999 TSH kwa wiki, ana haki ya kupata 5% ya kiasi alichopoteza katika kipindi cha wiki moja kwenye akaunti yake ya bonasi ya kasino.

Ili bonasi ya kasino iweze kuhamishiwa kwenye akaunti ya pesa halisi, lazima izungushwe mara 50 kwenye mchezo wowote wa sloti au kasino ya mtandaoni. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni 25,000 TSH. Kiasi cha chini cha bonasi kinachoweza kulipwa ni 6,000 TSH.

Mchezaji ambaye atapoteza kuanzia TSH 250,000 – 124,999 TSH kwa wiki, ana haki ya kupata 5% ya kiasi alichopoteza katika kipindi cha wiki moja kwenye akaunti yake ya bonasi ya kasino ya mtandaoni. Ili bonasi ya kasino iweze kuhamishiwa kwenye akaunti ya pesa halisi, lazima izungushwe mara 50 kwenye mchezo wowote wa sloti. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni 125,000 TSH.

 Mchezaji ambaye atapoteza kati ya TSH 1,250,000 – 4,999,999 TSH kwa wiki, ana haki ya kupata 10% ya kiasi alichopoteza katika kipindi cha wiki moja kwenye akaunti yake ya bonasi ya kasino. Ili bonasi ya kasino iweze kuhamishiwa kwenye akaunti ya pesa halisi, lazima izungushwe mara 50 kwenye mchezo wowote wa sloti. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni 750,000 TSH.

Ikiwa wewe ni mchezaji wa kawaida, wa kila siku na mwaminifu na upo katika kikundi cha wachezaji wa VIP, bila kujali kiwango cha juu cha dau ulilopoteza (TSH 250,000+), utapokea 10% ya pesa taslimu.

 Dau lolote ulilopoteza linazingatiwa katika Kipindi cha siku 7 (Jumatatu-Jumapili).

 Mchanganuo wa salio hufanywa usiku wa Jumapili hadi Jumatatu, na kwa kuzingatia hilo, itabainishwa ni mchezaji gani ana haki ya kurejesha pesa kupitia bonasi ya kasino ya mtandaoni/pesa halisi na ni kwa kiasi gani.

 Na zitalipwa moja kwa moja kwenye akaunti ya mchezaji kabla ya Jumatatu saa 12:00, ambapo wachezaji watajulishwa kupitia taarifa.

Sheria kuu za Promosheni:

Mteja anapaswa kua na bonus moja tuu wakati husika. Ili mteja akubali kupokea bonasi ya kasino ya mtandaoni, Ni lazima kutumia bonasi ya kasino iliyopo wakati huo au kuitoa.

Meridianbet ina haki ya kuondoa promosheni na kubadilisha sheria za promosheni hii wakati wowote.

Meridianbet ina haki ya kukatisha matokeo na kutolipa bonasi iwapo matokeo ya mteja kwa uchache au yote yametokea kimakosa kutokana na makosa ya kawaida, Makosa ya kiufundi au matatizo kwenye mchezo husika, bila kujali ni tatizo la kimfumo, kibinadamu,programu na udanganyifu au uchezaji wa kimakundi.

NB: Meridianbet ukijisajili tu unapata bonasi kibao za kasino ya mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

SOMA NA HII  HIVI NDIVYO YANGA YA GSM ILIVYOIBOMOA SIMBA YA MO DEWJI KILAANI...MANARA NA SENZO WATAJWA ...