Habari za michezo
Pata Picha Kali Nyakati Za Usiku Na 9in1;
MANULA NA TECNO NDANI YA MPANGO HUU….MASHABIKI WOTE WA SOKA LINAWAHUSU HILI…
Busti kipaji ndio kampeni iliyomkutanisha Mlinda Goli namba mmoja wa Timu ya Taifa Stars na Club ya Simba Sports Bwana Aishi Manula na kampuni ya simu TECNO Mobile Tanzania lengo likiwa ni kumsaidia mtoto wa Kitanzania kufikia ndoto zake kupitia mpira wa miguu kwa kuchagia katika kumsaidia kupata Kiatu cha mpira.
Kampeni inasema kwa kila TECNO SPARK 20 series moja iwe TECNO SPARK 20, SPARK 20 PRO au SPARK 20 PRO+ utakuwa umechangia kumtengeneza Aishi Manula wa baadae au mchezaji yeyote mwenye kuvutiwa naye kwenye tasnia ya mpira wa miguu.
TECNO SPARK 20 PRO+ ni simu ya kisasa yenye sifa lukuki lakini sifa kuu zikiwa ni muonekano wa muundo wa kisasa wa Double curved, kamera kali ya nyume yenye Megapixel 108 pamoja teknolojia ya kung’arisha picha hasa nyakati za giza yenye kufahamika kama ‘9in1’ na Chipset yenye uwezo mkubwa wa mobile gaming Mediatek Helio G99.
Cheza Games Za Mipira Na Helio G99;
Tunajuana wapenzi wa kabumbu, kuna muda tunatumia simu zetu kucheza mpira TECNO SPARK 20 PRO+ itakuwa urahisi wa kufurahia kabumbu wakati wowote.
Jione Wa Kisasa Na Double Curved Display
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.