Home Habari za michezo SHINDA MZIGO WA KUTOSHA MERIDIANBET KUPITIA UEFA CONFERENCE LEAGUE…

SHINDA MZIGO WA KUTOSHA MERIDIANBET KUPITIA UEFA CONFERENCE LEAGUE…

Meridianbet

Leo michuano ya Uefa Conference League itapigwa kwenye hatua ya 32 na timu kutoka mataifa mbalimbali zitaingia uwanjani kutafuta nafasi ya kufuzu hatua ya inayofauata ya 16 bora.

Mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wanaendelea na utaratibu wao wa kumwaga ODDS KUBWA katika michezo ambayo inapigwa katika siku husika, Ikiwemo katika michezo ya leo Alhamisi michuano ya Uefa Conference League.

Klabu ya Ajax leo itashuka dimbani wakiwa katika dimba lao la Johan Cruyff wakiwakaribisha klabu ya Bodo Glimt kutoka nchini Norway katika mchezo mkali wa michuano ya Uefa Conference League.

Klabu ya Real Betis ya nchini Hispania leo itakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Dinamo Zagreb kutoka nchini Croatia, Mchezo huu unatarajiwa kua mkali na wenye ushindani kwani vilabu vyote vina ubora mkubwa.

Mchezo mwingine mkali ambao unatarajiwa kupigwa leo kwenye michuano ya Uefa Conference League hatua ya 32 bora, Ambapo klabu ya Maccabi Haifa kutoka nchini Israel itawakaribisha klabu ya KA Gent kutoka nchini Ubelgiji.

Klabu ya Olympiacos ya nchini Ugiriki nao watakua nyumbani leo kuikaribisha klabu ya Ferencvaros kutoka nchiniĀ  Hungury, Mchezo huu utakua moja ya michezo mikali katika ambayo itamuwezesha mteja wa Meridianbet kupiga mkwanja leo.

Suka mkeka wako kwenye mechi hizi za UEFA, kwani ODDS KUBWA, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

SOMA NA HII  'JUJU' ZA MBOMBO ZAMPAGAWISHA ONGALA AZAM FC...HASIKII WALA HAAMBILIKI KWAKE...