Home Habari za michezo UFINYANGE MKEKA WAKO LEO KWA KUZINGATIA ODDS ZA KWENYE TIMU HIZI…

UFINYANGE MKEKA WAKO LEO KWA KUZINGATIA ODDS ZA KWENYE TIMU HIZI…

Meridianbet

Leo maokoto yataendelea kuwepo kutoka Meridianbet kwani michezo ya ligi ya mabingwa ulaya itaendelea kupigwa katika viwanja mbalimbali, Huku ikikuwezesha wewe mteja wa Meridianbet kupiga mkwanja wa kutosha leo

Leo kutakua na michezo mikali kwenye ligi ya mabingwa ulaya ambapo klabu ya Lazio itakua nyumbani kuwakaribisha miamba ya soka kutoka nchini Ujerumani klabu ya Fc Bayern Munich mchezo utakaopigwa katika dimba la Olympico nchini Italia.

Mchezo mwingine ambao utakwenda kupigwa leo ni kati ya klabu ya PSG mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Ufaransa ambapo watakua nyumbani katika dimba lao la Parc de Princes watawakaribisha klabu ya Real Sociedad kutoka nchini Hispania.

Klabu ya Bayern Munich imekua na msimu mzuri sana ndani ya ligi ya mabingwa ulaya msimu huu, Kwani kwenye hatua ya makundi hawajapoteza mchezo hata mmoha huku wakishinda michezo mitano na kusuluhu mchezo mmoja kati ya michezo sita ya makundi.

Klabu ya PSG vinara wa ligi kuu ya Ufaransa wao watakwenda kumenyana na moja ya vilabu venye takwimu nzuri zaidi kwenye ligi ya mabingwa ulaya msimu huu, Hivo mchezo huu unatarajiwa kua wenye ubora na ushindani mkubwa.

Suka mkeka wako kwenye mechi hizi za UEFA, kwani ODDS KUBWA, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Klabu zote zimepewa ODDS KUBWA kwenye michezo ya leo kwajili ya kuhakikisha wewe mteja wa Meridianbet unajipigia maokoto ya kutosha leo sikukuu ya wapendao iende vizuri kwa upande wako.

SOMA NA HII  KISA SARE NA AZAM JANA ....MABOSI SIMBA WAIBUKA NA TAMKO HILI...."MATOKEI SI MAZURI...."