Home Habari za michezo AZIZ KI AWABURUZA MUDATHIR NA BACCA…AJISHINDIA MAMILION KUTOKA KWA WADHAMINI…IPO HIVI

AZIZ KI AWABURUZA MUDATHIR NA BACCA…AJISHINDIA MAMILION KUTOKA KWA WADHAMINI…IPO HIVI

Habari za Yanga leo

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC, Stehpane Aziz Ki ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki wa Yanga kwa mwezi Machi.

Aziz amewashinda beki Ibrahim Bacca na kiungo Mudathir Yahya ambao ameingia nao Fainali., Stehpane Aziz Ki atakabidhiwa kitita cha shilingi milioni 3 kutoka kwa wadhamini wa tuzo.

SOMA NA HII  FEI TOTO AANZA TAMBO AZAM FC...AWATAJA MABEKI HAWA ANAWAOGOPA...AMEFUNGUKA HAYA