Home Habari za michezo MOTO WA YANGA WAIKUMBA LIGI KUU MOROCCO…NABI AFANYA MAAJABU HAYA

MOTO WA YANGA WAIKUMBA LIGI KUU MOROCCO…NABI AFANYA MAAJABU HAYA

Habari za Yanga SC

Kile ambacho alikifanya Kocha wa zamani wa Yanga Nasreddine Nabi akiwa na Wananchi ameendeelea kukifanya kule Morocco akiwa na FAR Rabat.

Hadi sasa FAR Rabat wanaongoza Ligi kuu ya Morocco (Botola Pro) wakiwa na alama 64 baada ya mechi 26 na tayari wameshakata tiketi ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL kwa msimu ujao.

Kocha Nasreddine Nabi anahitaji pia ushindi wa mechi 3 tu ili aweze kuwa bingwa wa Morocco msimu huu ambapo atafikisha alama 73.

SOMA NA HII  KUMBE FEI TOTO BADO MALI YA YANGA...SIMBA WAKIMTAKA WALIPE BILIONI 1