Home Habari za michezo ODDS ZA KUTUSUA LEO KWENYE USIKU WA EUROPA ZIMELALA KWENYE TIMU HIZI…

ODDS ZA KUTUSUA LEO KWENYE USIKU WA EUROPA ZIMELALA KWENYE TIMU HIZI…

Meridianbet

Leo hii mechi kibao za EUROPA kupigwa kwenye viwanja mbalimbali hatua ya robo fainali lakini na wewe mteja wa meridianbet una nafasi ya kupiga mkwanja ukibashiri na meridianbet.

AS Roma arakiwasha dhidi ya AC Milan ambayo ipo chini ya kocha mkuu Stephano Pioli. AS Roma ambao wametoka kumuongezea mkataba kocha wao walishinda mechi ya kwanza walipokutana kule San Siro. Je leo hii Milan wanaweza nao shind awkaiwa ugenini? Meridianbet wamempa Pioli na vijana wake anafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.28 kwa 2.99. Tengeneza jamvi lako hapa.

Liverpool wao watasafiri hadi Italia kulipa kisasi dhidi ya Atalanta ambao mechi ya kwanza waliwafunga wakiwa Anfield. Mechi hiyo itapigwa majira ya saa 4:00 usiku meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi Klopp na vijana wake kwa ODDS 1.57 kwa 4.90. Je Gasperin anaweza kubali kupigika nyumbani huku akiwa na uongozi wa mabao 3-0?. Beti mechi hii.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Mechi nyingine itakuwa katika dimba la London ambapo mwenyeji West Ham United chini ya David Moyes atamleta nyumbani kwake Bayer Leverkusen ambaye ndiye bingwa wa Bundesliga ambalo alilichukua wiki iliyopita. Mechi ya kwanza Alonso alishinda akiwa kwake. Je leo hii atasonga hatua ya nusu fainali? Mechi hii imepewa ODDS 4.90 kwa Wagonga Nyundo na 1.83 kwa mgeni. Jisajili hapa.

Hii mechi ni ya kupiga mkwanja yaani Olympique Marseille dhidi ya SL Benfica kutoka Ureno ambaye alishinda mechi ya kwanza. Marseille anataka kulipa kisasi na kushinda leo kwa ODDS ya 2.35 kwa 2.84. Wewe nani unaona atakupa pesa?. Suka jamvi lako sasa.

SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI YA NGAO YA JAMII ....MANULA APEWA SIKU SABA KWA YANGA...KOCHA AFUNGUKA ATAKACHOMFANYA..