Home Habari za Simba SIMBA YAFANYA KUFURU…KUMSAJILI KIPA HUYU…KUMBE ALIMUWEKA BENCHI KIPA WA MAN U

SIMBA YAFANYA KUFURU…KUMSAJILI KIPA HUYU…KUMBE ALIMUWEKA BENCHI KIPA WA MAN U

Habari za Simba leo

Kwa mujibu wa mwandishi wa habari za michezo hasa za usajili kutoka nchini Ghana Nuhu Adams, klabu ya Simba ya Tanzania ina nia ya kumsajili kipa wa timu ya Taifa ya Cameroon Fabrice Ondoa.

Ondoa ambaye alianza mechi 3 kati ya 4 za AFCON 2023 mbele ya kipa wa klabu ya Manchester United Andre Onana kwasasa anacheza klabu ya Nimes Olympique ya ligi daraja la pili nchini Ufaransa.

SOMA NA HII  ZA NDANI KABISA...VIGOGO YANGA WAMPA MAISHA YA KIFAHARI PRINCE DUBE...ISHU NZIMA IPO HIVI