Home Habari za michezo USAJILI WA WINGA HUYU YANGA KUTIKISA BONGO…KUSAJILIWA KWA MIL 500

USAJILI WA WINGA HUYU YANGA KUTIKISA BONGO…KUSAJILIWA KWA MIL 500

KUMBE YANGA WATUMIA MBINU HII KUFANYA USAJILI...RAIS AFUNGUKA KILA KITU A-Z

Jina la Deivi Miguel Vieira maarufu kama Gilberto raia wa Angola anaechezea Petro Atletico Luanda linatajwa kwenda kumrithi Skudu Makhudubela huko Jangwani.
Taarifa zinaeleza kuwa huenda Skudu akajiunga na Amazulu ya nyumbani kwao Afrika Kusini mwishoni mwa msimu huu hiyo ni baada ya kukosa namba kwenye kikosi cha mwalimu Miguel Gamondi.

Gilberto ni moja kati ya mawinga Bora sana ambae amekuwa akifanya vizuri na kikosi cha Petro tangu mwaka 2022 alipojiunga na timu hiyo akitokea Recreativo do Libolo ya huko nyumbani kwao Angola.
Nyota huyo anapatikana sokoni Kwa dau la USD 200,000 sawa na zaidi ya shilingi million 515 za Kitanzania.

SOMA NA HII  RASMI FIFA YATANGAZA...KLABU IKISHIRIKI KOMBE LA DUNIA INAKULA BIL 137...TIMU HIZI ZATAJWA