Habari za Yanga leo
Habari za michezo

MCHAMBUZI: YANGA KULA MKWANJA MNENE KWA AZIZ KI…ISHU NZIMA IPO HIVI A-Z

Marce Ben Komba May 3, 2024 12:09 pm

Kwa umri wa Gaucho Aziz Ki wa miaka 28 simuoni akicheza misimu miwili au mitatu zaidi hapa katika vile viunga vya Jangwani.

Kwa ubora alionao na mchango wake mkubwa ndani ya Yanga,msimu ujao wakubwa na vigogo wa Afrika watahitaji kama Al Ahly, Mamelodi na Espernace wataulizia tu saini ya Gaucho Stephane Aziz Ki.

Ligi Kubwa barani Afrika kama vile Misri, Morocco ama PSL zinakula samaki wadogo kama hawa Yanga kutokana na wachezaji wenye uweso mkubwa kama hawa wakina Gaucho Aziz Ki.

Sitasangaa kama Yanga watavuna fedha nyingi zaidi ya ile ambayo walimsajili Gaucho Stephane Aziz Ki miaka miwili iliyopita
Ameandika Mbwana Mshindo

HUYU HAPA MRITHI WA BENCHIKAH SIMBA…KUMBE WALIFANYA KAZI NA KOCHA WA YANGA KUHUSU ISHU YA KIBU DENIS NA SIMBA…KUMBE HUYU NDIO ANAYEVURUGA