Habari za Yanga leo
Habari za michezo

YANGA YAKAMILISHA USAJILI WA KIUNGO HUYU HATARI…ISHU NZIMA HII HAPA

Marce Ben Komba May 5, 2024 9:11 am

Inaelezwa kuwa, Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji kutokea katika klabu ya Singida Fountain Gate kwa mkataba wa miaka 2.

Viongozi wa klabu ya Yanga sc walipata nafasi ya kuitembelea familia ya Yusuph Kagoma hapa kigoma na kuwajulisha kuwa Yusuph kagoma ataichezea Yanga msimu ujao na Familia yake imetoa baraka kwake.

MZIGO WA KUTOSHA UPO KWENYE ODDS HIZI NDANI YA MERIDIANBET LEO… MASTAA HAWA 9 WATEMWA SIMBA…MASHINE HII HATARI KUTUA MSIMBAZI