Home Habari za michezo SIMBA KUMSAINISHA MSHAMBULIAJI HUYU HATARI…ANATOKEA MISRI HUYU HAPA

SIMBA KUMSAINISHA MSHAMBULIAJI HUYU HATARI…ANATOKEA MISRI HUYU HAPA

SIMBA KUMSAINISHA MSHAMBULIAJI HUYU HATARI...ANATOKEA MISRI HUYU HAPA

Inaelezwa kuwa Simba SC ipo kwenye mipango ya kumsainisha mshambuliaji wa Al Ittihad Alexandria ya nchini Misri, Agostinho Cristóvão Paciência maarufu Kwa Jina la Mabululu raia wa Angola.

Hii ni kufanya maboresho kwenye safu ya ushambuliaji ya kikosi hicho na za ndani kabisa zinaeleza kuwa huenda akawa mchezaji anaelipwa mshahara mnono zaidi kwenye Ligi Kuu Bara.

Nyota huyo amefunga magoli 10 kwenye mechi 16 za Egyptian Premier League msimu huu.

SOMA NA HII  DIDIER GOMES ANAAMINI KWAMBA SIMBA HAITAFUNGWA