Home Meridianbet IJUMAA YAKO NI TAMU UKIBASHIRI NA MERIDIANBET…

IJUMAA YAKO NI TAMU UKIBASHIRI NA MERIDIANBET…

Meridianbet

Mabingwa wa ODDS KUBWA Meridianbet wanakukaribisha ubashiri mechi za kirafiki ambazo zinaendelea ambapo hapa unaweza ukabashiri machaguo uyapendayo mechi zote. Usisubiri kuambia ingia sasa na ubashiri.

GNK Dinamo Zagreb ya Croatia atakuwa uso kwa uso dhidi ya Shakhtar Donetsk ya kule Ukraine ambapo timu hizi zote ni mabingwa wa ligi zao. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Shakhtar kwa ODDS 2.38 kwa 2.45. Wewe beti yako unaiweka wapi kwa hizi timu mbili?. Bashiri sasa.

Pia Norwich City ambao walishuka daraja watapepetana dhidi ya FC Magdeburg ya kule Bundesliga 2 ambao wlaishika nafasi ya 14 na pointi zao 38. Mwenyeji kushinda mchezo huu amepewa ODDS 1.53 kwa 4.70. Jisajili hapa.

Bashiri mechi za kirafiki zinazoendelea ndani ya Meridianbet uibuke kuwa Milionea leo. Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Saa 3 usiku Leicester City ambao wamepanda daraja msimu huu watakuwa na kibarua cha kukiwasha dhidi ya Palermo FC ya kule Italia Serie B ambapo alimaliza nafasi 10 za juu kwenye msimu uliopita. Leicester ndani ya Meridianbet anapewa nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.49 kwa 4.80. Wewe beti yako unaiweka wapi kati ya hizi timu mbili?. Suka jamvi lako hapa.

Leo hii Sevilla FC ambao watakipiga dhidi ya Al-Ittihad ya kule Saudi Arabia. Timu hiyo ilimaliza nafasi ya 5 kwenye ligi yao huu mwenyeji kutok akule Laliga wakimaliza nafasi ya 14. Mechi hii imepewa ODDS 1.38 kwa 5.88. Jisajili hapa.

Leo hii Empoli atakipiga dhidi ya Spezia ambapo timu hii inacheza ligi daraja la pili kule Italia na pia haijapewa nafasi kushinda mechi hii kwa ODDS 6.46 kwa 1.37, wakati kwa upande wa mwenyeji yeye anakipiga Serie A na alimaliza nafasi ya 17 na pointi 36. Je leo hii nani atashinda nani?. Beti sasa.

Wakati pia kule Qatar kutakuwa na mechi ya Al Qadsiyah dhidi ya Olympiacos ya Ugiriki ambao ni mabingwa wa Conference League  lakini pia ni wamecheza mechi mbili za kirafiki wakishinda moja na kupoteza moja. Mechi hii imepewa ODDS 6.86 kwa 1.31. Je nani kuibuka mshindi leo?. Suka jamvi hapa.

Juventus atakuwa ugenini dhidi ya FC Nurnberg ambayo inacheza Bundesliga 2 kule Ujerumani. Bibi Kizee huyu alimaliza ligi akiwa nafasi ya 3 na pointi zake 71 huku mwenyeji akimaliza nafasi ya 12 na pointi zake 40. Tengeneza jamvi lako mechi hii ambayo ina machaguo zaidi ya 1000.

Bingwa wa Bundesliga Bayer Leverkusen chini ya kocha mkuu Xabi Alonso watakipiga dhidi ya Ret-Weiss Essen ambayo inakipiga ligi ndogo kule Ujerumani. 1.16 na 8.62 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili sasa.

SOMA NA HII  MERIDIANBET WATEKELEZA AGIZO LA DR SAMIA KWA VITENDO...WASHUSHA NEEMA KWA T.Z.K FC..