Home Uncategorized BEKI LIPULI ASAINI DILI LA MIAKA MIWILI KMC

BEKI LIPULI ASAINI DILI LA MIAKA MIWILI KMC

 

 DAVID Mwasa ambaye ni beki wa kati, leo Agosti 19 ametambulishwa ndani ya Klabu ya KMC kuwa mchezaji wao mpya kwa ajili ya msimu wa 2020/21.


Nyota huyo  amesaini dili la miaka miwili ndani ya KMC akitokea Klabu ya Lipuli FC.

Lipuli imeshuka daraa hivyo msimu wa 2020/21 itashiriki Ligi Daraja la Kwanza.
SOMA NA HII  MECHI YA USHINDI NA HESHIMA LEO YANGA vs MADEAMA